Lil Wayne
- Dwayne Michael Carter, Jr. (amezaliwa tar. 27 Septemba 1982) ni mshindi wa Tuzo za Grammy - akiwa kama rapa wa muziki wa hip hop bora kutoka nchini Marekani.
Liberia
- Liberia (yaani Nchi ya watu huru kwa Kilatini) ni nchi iliyoko Afrika ya Magharibi. Imepakana na nchi za Ivory Coast, Guinea, na Sierra Leone.
Liverpool F.C.
- Liverpool Football Club (/ˈlɪvərpuːl/) ni klabu kubwa ya mpira wa miguu mjini Liverpool, Uingereza, inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (Premier League) yenye ushindani mkubwa.
Liechtenstein
- Utemi wa Liechtenstein (kwa Kijerumani: Fürstentum Liechtenstein) ni nchi ndogo katika Ulaya ya Kati. Imepakana na Uswisi na Austria.
Lille
- Lille ndiyo mji mkuu katika mkoa la Nord-Pas-de-Calais. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 1999, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu.
LILE svahilština výslovnosti s významy, synonyma, antonyma, překlady vět a více.