Haki
- Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano.
Haki za binadamu
- Kwa orodha za haki za binadamu angalia makala Tangazo kilimwengu la haki za binadamu
Haki za binadamu nchini Uganda
- Uganda inaendelea kuwa na ugumu katika kuheshimu haki za binadamu katika masuala mbalimbali, lakini katika ripoti ya mwaka 2012 kuna nafuu fulani.
Hakimu
- Hakimu ni mtu anayeendesha kesi mahakamani akiwa peke yake au akiwa kama sehemu ya jopo la mahakimu.
Haki za binadamu nchini Kenya
- Haki za binadamu nchini Kenya ni bora kuliko katika sehemu nyingi za Afrika, ingawa bado uhuru wa kisiasa unahujumiwa.
Haki svahilština výslovnosti s významy, synonyma, antonyma, překlady vět a více.