Enzi ya kati
- Enzi ya Kati (pia: Zama za Kati; kwa Kiingereza: "Middle Ages", pia "mediaevo" au "medievo") ni kipindi cha katikati cha historia ya Ulaya katika mgawanyo wa “zama” tatu: ustaarabu wa
Enzi ya barafu
- Enzi ya barafu ni kipindi cha historia ya dunia ambapo halijoto kwenye uso wa dunia ilikuwa duni kwa muda mrefu, yaani miaka elfu kadhaa au zaidi.
Enrique Iglesias
- Enrique Miguel Iglesias Preysler (amezaliwa tar. 8 Mei 1975, mjini Madrid, Hispania) ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Hispania.
Enzo G. Castellari
- Enzo G. Castellari (alizaiwa akiwa na jina la Enzo Girolami, mnamo tar. 29 Julai ya mwaka wa 1938) ni mwongozaji wa filamu kutoka nchini Italia.
Enrico Fermi
- Enrico Fermi (29 Septemba 1901 – 28 Novemba 1954) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Baadaye alihamia Marekani.
Enzi svahilština výslovnosti s významy, synonyma, antonyma, překlady vět a více.