Tatu
- Tatu ni namba ambayo inafuata mbili na kutangulia nne. Kwa kawaida inaandikwa 3 lakini III kwa namba za Kiroma na ٣ kwa zile za Kiarabu.
Tatu Chafu
- "Tatu Chafu" ni jina la filamu ya uhalifu na usela iliyotolewa 16 Disemba 2017 kutoka nchini Tanzania.
Tatu Mussa Ntimizi
- Tatu Mussa Ntimizi (amezaliwa tarehe 9 Aprili, 1946) ni mbunge wa jimbo la Igalula katika bunge la taifa nchini Tanzania.
Tatuu
- Tatuu ni aina ya mchoro katika mwili ambao hufanywa kwa kuingiza wino na rangi kwenye safu ya ngozi. Inaweza kuwa ya kudumu au ya muda mfupi.
Tatizo la Kutotulia
- Tatizo la Kutotulia (kwa Kiingereza: Attention-deficit/hyperactivity disorder) ni tatizo la kiakili linalohusu ukuaji wa nyuro ambapo kuna utovu wa umakinifu na kutenda kwa usukumizi ambavyo
Tatu svahilština výslovnosti s významy, synonyma, antonyma, překlady vět a více.