Sita
- Sita ni namba ambayo inafuata tano na kutangulia saba. Kwa kawaida inaandikwa 6 lakini VI kwa namba za Kiroma na ٦ kwa zile za Kiarabu.
Sitalike
- Sitalike ni jina la kata ya Wilaya ya Mlele katika Mkoa wa Katavi, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,638 waishio humo.
Sitaha
- Sitaha ni uso wa juu wa meli. Ni dari juu ya bodi ya meli.
Siasa
- Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa, mji au hata dunia nzima (siasa ya kimatatifa).
Silabi
- Silabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambapo sauti za lugha hutamkwa mara moja kwa pamoja kama fungu moja la sauti.
Sita svahilština výslovnosti s významy, synonyma, antonyma, překlady vět a více.