Imani
- Imani kwa Kiswahili ni neno lenye maana mbalimbali (k.mf. "huruma"), lakini ile kuu inahusiana na kitenzi kuamini, kinachofanana na kusadiki.
Imani sahihi
- Imani sahihi (kwa Kiingereza Orthodoxy, kutoka maneno ya Kigiriki orthos + doxa,) ni msimamo unaokubali mafundisho sanifu ya dini fulani, tofauti na yale ya wachache.Umuhimu wa jambo hilo una
Imani ya Kanisa
- Imani ya Kanisa (kwa Kilatini: fides Ecclesiae; kwa Kiingereza: Faith of the Church) ni wazo la msingi la teolojia ya Kanisa Katoliki.
Imani svahilština výslovnosti s významy, synonyma, antonyma, překlady vět a více.